TAARIFA: Makao Makuu ya Wakala wa Huduma za Misitu Yamehamia Ofisi ya Zamani MPINGO-HOUSE

Latest Highlights

Askari polisi wa kituo cha polisi cha Chalinze  akionesha viroba  viwili vya bangi vyenye uzito wa kilo 50 kila kimoja vilivyokamatwa jana katika Operesheni ya kuthibiti utoroshaji wa  mazao ya Misitu yasiyo na kibali  katika kata ya Vigwaza tarafa ya Chalinze mkoani Pwani katika Bara bara kuu ya Morogoro wakitokea Tunduma wakiwa kwenye gari lenye namba za usajili T876 DDL  aina ya DAF Leyland

JESHI LA POLISI MKOANI PWANI KWA KUSHIRIKIANA NA MAOFISA WA MALIASILI WAMEKAMATA VIROBA VYA BANGIPosted September 22, 2016

Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Maofisa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) inamshikilia Dereva Bw. Emanuel…

Read More »

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU USAFIRISHAJI WA MAZAO YA MISITU KIHOLELA

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU USAFIRISHAJI WA MAZAO YA MISITU KIHOLELAPosted August 22, 2016

WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) imepiga marufuku usafirishaji wa mazao ya…

Read More »